You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Iran
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
App
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ndege ya kijeshi ya Urusi yaanguka, 29 wapoteza maisha
Ndege ya kijeshi ya Urusi imeanguka kwenye eneo la Crimea, ambapo watu wote 29 waliokuwamo wamepoteza maisha.
Israel yaishambulia tena Beirut
Jeshi la Israel linasema limefanya mashambulizi mengine ya anga dhidi ya mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
Sheria mpya ya bei za mafuta yaanza Ujerumani
Ujerumani inaanza utekelezaji wa kanuni mpya kwa vituo vya mafuta, baada ya bei kupanda kwa vita dhidi ya Iran.
Trump aashiria kutaka kumaliza vita dhidi ya Iran
Kauli ya Trump inaashiria kubadilikabadilika kwa mitazamo yake kuelekea vita hivyo ambavyo vinaingia mwezi wa pili sasa.
31.03.2026 Matangazo ya Jioni
Rais wa Baraza la Ulaya Antonio Costa amemtaka Rais wa Iran Masoud Pezeshkian kusitisha mashambulizi katika eneo la Mashariki ya Kati+++Wafanyabiashara mpakani mwa Kenya na Uganda, katika eneo la Busia, wamelitaka Bunge la Afrika Mashariki, EALA, kufanya mapitio ya sheria za biashara.
31.03.2026 Matangazo ya Mchana
Marekani na Israel zimevishambulia vituo vya kijeshi katikati mwa Iran, zikaharibu eneo muhimu la kidini+++Takriban watu 70 wameuawa na 30 kujeruhiwa wakati wa shambulio karibu na mji wa Petite-Riviere katika eneo la Artibonite nchini Haiti.
31.03.2026 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 31 Machi 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
31.03.2026 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 31 Machi 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Trump aendeleza kauli zinazopingana vita dhidi ya Iran
Kunatajwa dalili za mazungumzo ya kukomesha vita hivyo, ingawa hofu inaongezeka kuhusu mashambulizi ya ardhini.
Jeshi la Somalia latwaa udhibiti Jimbo la Kusini Magharibi
Serikali ya Jimbo hilo inapinga mabadiliko ya katiba yanayoipa mamlaka zaidi serikali kuu mjini Mogadishu.
Mawaziri wa kigeni wa EU waitembelea Bucha
Kallas anaambatana na mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ujerumani, Poland na Italia kukitembelea kitongoji cha Bucha.
Ukraine yafikia makubaliano na mataifa ya Ghuba
Zelensky amesema Ukraine imefikia makubaliano ya kihistoria na Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Qatar.
Walinda amani wengine wa Umoja wa Mataifa wauawa Lebanon
Jeshi la Israel na kundi la Hizbullah wanashambuliana kwenye eneo hilo ikiwa ni muendelezo wa vita vya dhidi ya Iran.
Bei ya mafuta yapanda tena soko la dunia
Bei ya mafuta imepanda tena kutokana na athari za moja kwa moja za vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
Touadéra aapishwa tena kutawala Jamhuri ya Afrika ya Kati
Touadéra ameapishwa kutawala kwa muhula wa tatu miezi mitatu baada ya kutangazwa mshindi kwenye uchaguzi wenye utata.
30.03.2026 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Bunge la Israel kuamua kuhusu hukumu ya kifo kwa Wapalestina wanaowaua Waisraeli Ukingo wa Magharibi/ Mkutano wa Shirika la Biashara Ulimwenguni WTO, umemalizika nchini Cameroon
Mazungumzo ya WTO yamalizika kwa mkwamo
Huu ni mkwamo mpya kwa shirika hilo la biashara la kimataifa, ambalo limekuwa na kipindi kigumu kusimamia majukumu yake.
Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 30 Machi 2026
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 30 Machi 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 30 Machi 2026
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 30 Machi 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW.
Trump adai mabadiliko ya utawala yamefanikiwa Iran
Trump amedai vita vilivyoanzishwa na nchi yake na Israel vimeshafanikiwa kuleta mabadiliko ya utawala nchini Iran.
Vita dhidi ya Iran vyavuuka mwezi mzima
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vinavuuka mwezi mmoja, huku kila upande ukizidisha mashambulizi na vitisho.
Meli ya mafuta ya Urusi kuwasili Kuba kusaidia umeme
Meli ya mafuta ya Urusi inatazamiwa kutia nanga nchini Kuba ikiwa na matangi 730,000 ya mafuta ya dizeli.
Mkutano wa WTO wamalizika bila maafikiano
Mkutano wa Shirika la Biashara Ulimwenguni (WTO) umemalizika nchini Kameruni bila ya makubaliano kwenye masuala muhimu.
Amnesty yaonya Kombe la Dunia kuwa 'jukwaa la ukandamizaji'
Shirika hilo limetaka hatua za haraka kuchukuliwa kuheshimu haki za binaadamu kote Marekani, Kanada na Meksiko.
Matangazo ya Jioni: 29.03.2026
Pakistan yaandaa mazungumzo ya kikanda kuhusu mzozo wa Iran. Israel na Iran zaendelea kushambuliana katika mashambulizi ya kulipizana kisasi. Papa Leo XIV ameanza wiki yake ya kwanza kabla ya Pasaka kwa kuongoza misa ya jadi ya Jumapili ya Matawi mbele ya maelfu ya waumini katika Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Roma.
Matangazo ya Mchana: 29.03.2026
Spika wa Bunge la Iran asema Marekani inapanga shambulio la ardhini nchini mwake. Mawaziri wa Mambo ya nNe wa Saudi Arabia, Uturuki na Misri wanatarajiwa kuwasili Pakistan siku ya Jumapili wataanza mazungumzo ya siku mbili kuhusu mzozo wa Mashariki ya Kati. Maandamano ya ‘No Kings’ yafanyika kupinga utawala wa Trump.
28.03.2026 Matangazo ya Jioni
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema uaminifu unahitajika kusuluhisha mzozo wa nchi yake dhidi ya Marekani na Israel+++Ukraine, Qatar na Falme za Kiarabu zakubaliana kushirikiana kwenye sekta ya ulinzi +++Papa Leo XIV awataka watu wa Monaco kutumia imani na utajiri wao kufanya mema.
28.03.2026: Matangazo ya Mchana
Yaliyomo: Taarifa ya Habari ya Ulimwengu, Maoni mbele ya meza ya Duara na mchezo wa Noa Bongo jenga maisha yako.
27.03.2026 Matangazo ya Jioni
Mashariki ya Kati, mvutano unaendelea kuongezeka baada ya Walinzi wa Mapinduzi wa Iran – IRGC kutangaza kuwa wamezizuia na kuzirudisha nyuma meli tatu za mizigo zilizojaribu kuvuka Mlango wa Bahari wa Hormuz+++Chama cha upinzani cha Orange Democratic Movement (ODM,) kimefanya mageuzi kwenye uongozi wake wa ngazi ya juu na baadhi ya viongozi wametemwa.
27.03.2026 Matangazo ya Mchana
Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani kukamilisha haraka uchunguzi wake juu ya mauaji ya kutisha ya watoto 160 kwenye shule moja ya wasichana katika siku ya kwanza ya uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran+++Baraza la Umoja wa Mataifa limesema, mapigano yanayoendelea nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo yameongezeka maradufu.
Umoja wa Mataifa wataka haki itendeke watoto waliouawa Iran
Rubio yuko Paris kuwashawishi wenzake wa mataifa saba yenye nguvu kubwa kiuchumi kukubaliana na vita dhidi ya Iran.
27.03.2026 Matangazo ya Asubuhi
Wakati vita vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Iran vikiingia siku yake ya 28 leo, kunatajwa dalili za mazungumzo ya kukomesha vita hivyo+++Kinshasa ina idadi kubwa ya watoto wa mitaani wanaojulikana kama ‘shegues’. Maelfu ya watoto hao wamelazimika kuishi kwenye barabara za mji huo.
27.03.2026: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu yakosolewa na upinzani nchini humo kuwa inaielekeza Israel kwenye "janga la kiusalama". Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuhudhuria nchini Ufaransa mkutano wa G7. Umoja wa Mataifa waonya kuwa mgogoro wa mashariki mwa Kongo unaongezeka kutokana na matumizi ya silaha nzito.
Idhaa za Kiswahili zatakiwa kuheshimu maadili ya Kiswahili
Vyombo vya habari vya Kiswahili vimekumbushwa kutumia lugha kwa ufasaha ili kuienzi lugha adhim ya kiswahili duniani.
26.03.2026 Matangazo ya Jioni
Marekani inazidi kusogeza wanajeshi wake wa ardhini tayari kuivamia Iran+++Mwanasheria mkuu nchini Uganda ametupilia mbali mashtaka dhidi ya watu wote waliotuhumiwa na waliohukumiwa kwa kukiuka sheria ya matumizi ya TEHAMA.
Vita dhidi ya Iran vyaingia siku ya 27
Dalili za kukomeshwa kwa vita hivyo ni chache, huku kila upande ukiashiria uwezekano wa kusonga mbele zaidi na mapigano.
26.03.2026: Taarifa ya Habari za Asubuhi
Iran yatupilia mbali mpango wa Marekani wa kumaliza vita vya Mashariki ya Kati. Umoja wa Mataifa waitambua biashara ya utumwa kuwa uhalifu mbaya zaidi dhidi ya ubinaadamu. Watu zaidi ya milioni 2 hawana huduma za afya huko Darfur nchini Sudan.
25.03.2026 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais Trump atuma pendekezo la mpango wa amani kwa Iran // Ukraine yataka shinikizo dhidi ya Moscow baada ya wimbi la mashambulizi ya Urusi // Na mashabiki wa Ulaya wawasilisha malalamiko kuhusu bei za tiketi za Kombe la Dunia nchini Marekani
Kongamano la Idhaa za Kiswahili laanza Arusha
Kongamano la tano la Idhaa za Kiswahili Duniani limeanza rasmi likileta pamoja wadau wa lugha.
24.03.2026 Taarifa ya Habari Asubuhi
Rais Trump asema Marekani inafanya mazungumzo na Iran ya kumaliza vita // Ndege ya kijeshi iliyokuwa na abiria 121 yaanguka Colombia na kuua watu 33 // Na miili ya Waafrika iliyofukuliwa na kupelekwa Ulaya kwa utafiti yazikwa upya Afrika Kusini
23.03.2026 Matangazo ya Jioni
Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitisha kwa siku tano mashambulizi ya kijeshi dhidi ya miundombinu ya nishati ya Iran+++Miili iliyokatwakatwa yakutwa katika kaburi la pamoja Kenya+++Meli ya magari ya kifahari yatia nanga Kenya+++Mtiririko usio sawa wa bidhaa kati ya Afrika na Ulaya
23.03.2026 Matangazo ya Mchana
Vita vya Iran: Trump awashambulia NATO kwa kushindwa kumsaidia kufungua Mlango Bahari wa Hormuz+++Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Kenya Raphael Tuju,inashinikiza kupata majibu kuhusu alipo baada ya kutoweka katika mazingira ya kutatanisha+++WHO: 64 wauwawa katika shambulizi la Hospitali Sudan+++Joto jingi lazidi kuongezeka duniani: UN
Kenya na Uganda zaongeza juhudi za kuendeleza reli
Licha ya gharama na utata wake, reli hii inaonekana kama tumaini jipya la kubadilisha usafirishaji na biashara EAC.
23.03.2026 Matangazo ya Asubuhi
Sikiliza Matangazo ya Dunia Yetu Leo Asubuhi 23 Machi 2026 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW
23.03.2026 Taarifa ya Habari Asubuhi
Iran yatishia kuufunga kabisa Mlango-Bahari wa Hormuz huku vita vya Mashariki ya Kati vikiendelea // Mkuu wa Shirika la Nishati la Kimataifa aonya kuwa uchumi wa dunia uko katika "tishio kubwa" // Na Idadi ya watu waliokufa kufuatia mvua kubwa nchini Kenya yafikia 81
Matangazo ya Jioni - 20.03.2026
Iran imetoa onyo kali kwamba inaweza kuyalenga maeneo ya utalii na starehe duniani kote+++Eneo la Sahel barani Afrika limekuwa ndio "kitovu cha ugaidi duniani
Matangazo ya Mchana - 20.03.2026
Leo hii Ijumaa mataifa kadhaa yanasherehekea sikukuu ya Eid baada ya kumalizika mfungo wa mwezi wa Ramadhani+++Waziri Mkuu wa Japan Sanae Takaichi amekwepa mvutano uliotaka kujitokeza kati yake na mwenyeji wake, Rais Donald Trump.
Matangazo ya Jioni - 19.03.2026
Rais Donald Trump wa Marekani amesema nchi yake haikujuwa kuhusu mashambulizi ya Israel kwenye visima vya gesi vya Iran+++Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekutana leo mjini Brussels na kujadili masuala mazito yanayoukabili umoja huo, ikiwemo vita vya Mashariki ya Kati.
Malengo ya Marekani kwa Iran ni tafauti na ya Israel
Gabbard amesema Marekani inataka kuangamiza mifumo ya makombora ya Tehran wakati Israel inataka kuuangamiza uongozi.
Rwanda, Kongo zakubaliana kukomesha uhasama
Mzozo wa Kongo unajumuisha makundi ya waasi na makabiliano ya kijeshi ya kila upande dhidi ya mwengine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 169
Ukurasa unaofuatia