Amina Mohammed ateuliwa kuwa naibu Katibu Mkuu wa UN | Media Center | DW | 16.12.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Amina Mohammed ateuliwa kuwa naibu Katibu Mkuu wa UN

Serikali ya Syria yaahirisha zoezi la kuwahamisha raia na waasi kutoka mjini Aleppo. Viongozi wa Umoja wa Ulaya warefusha vikwazo dhidi ya Urusi kwa miezi sita na Katibu Mkuu mpya wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amteua waziri wa wa mazingira wa Nigeria Amina Mohammed kuwa naibu Katibu Mkuu wake. Papo kwa Papo 16.12.2016

Tazama vidio 01:43
Sasa moja kwa moja
dakika (0)