Tanzania,na Msumbiji zimeandika historia kwa kutinga 16 bora AFCON, Sudan ikibadilisha kabisa taswira ya vita na soka la Afrika. Wakati mafanikio haya yakishangiliwa, Gabon imezua sintofahamu kwa kufuta timu yake ya taifa. Ni msimu wa mabadiliko makubwa na maswali mazito kuhusu mustakabali wa kandanda barani. Zaidi msikilize mchambuzi wa michezo Hassan Ali.