AFCON 2025 au CAN 2025, ni tamasha la 35 la mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika yanayoandaliwa kila baada ya miaka miwili na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Tamasha la AFCON 2025 lilifanyika Morocco.