1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2021 Taarifa ya Habari ya Asubuhi.

30 Juni 2021

Uingereza imeifunga Ujerumani mabao 2-0 katika mashindano ya soka ya mataifa ya Ulaya maarufu kama Euro 2020. Ni dakika ya 75 katika kipindi cha pili pale ambapo winga machachari wa timu ya Manchester City, Raheem Starling alipolichungulia lango la Ujerumani, hatua ambayo ilitekelezwa pia na Harry Kane katika dakika ya 86, aliyewainua mashabiki 45,000 wa soka wa England katika uwanja wa Wembley.

https://p.dw.com/p/3vnPt