Siasa07.05.2020 - Matangazo ya Asubuhi To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaTSA / S08S07.05.20207 Mei 2020Rais wa Marekani amesema virusi vya corona vimeiathiri kwa kiwango kikubwa nchi hiyo. Umoja wa Ulaya umetoa ahadi ya msaada kwa mataifa ya Balkan. Watu 30 wameuwawa kwenye mapigano ya kikabila nchini Sudan.https://p.dw.com/p/3bsQAMatangazo