1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Zitto Kabwe amekiachaje chama cha ACT-Wazalendo ?

12 Machi 2024

Mwanasiasa wa siku nyingi kambi ya upinzani nchini Tanzania Zitto Kabwe amejiweka kando na chama chake cha ACT-Wazalendo kwa maana ya kung'atuka katika nafasi ya uongozi ya chama hicho, akisalia kuwa mwanachama wa kawaida tu. Je amekiachaje chama chake hicho na je, ana ndoto ya kuwa rais wa Tanzania ? Silikiza mahojiano yake na George Njogopa wa DW-Kiswahili kwenye Kinagaubaga.

https://p.dw.com/p/4dQZi