1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Yanga mguu mmoja hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Mindi Joseph
18 Septemba 2023

Ushindi wa 2-0 wa Yanga dhidi ya Al Merrikh umeiweka klabu hiyo ya Tanzania katika nafasi nzuri ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Timu hizo zitarudiana Jumamosi ijayo Septemba 30 na mshindi wa jumla atakwenda hatua ya makundi. Sikiliza ripoti ya mwanamichezo wetu Mindi Joseph.

https://p.dw.com/p/4WU2r