Watoto, wanawake na albino wanaathirika zaidi Tanzania | Matukio ya Afrika | DW | 20.08.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Watoto, wanawake na albino wanaathirika zaidi Tanzania

Ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania inaonyesha kuwa bado kundi la watoto, wanawake na watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu albino wanaathirika zaidi, na imezitaka mamlaka husika kuchukua hatua zaidi kulinda haki za makundi hayo.

Sikiliza sauti 02:29