1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wasichana wacheza soka Zanzibar

2 Desemba 2019

Licha ya mtizamo wa jadi kisiwani Zanzibar kuwa mtoto wa kike hapaswi kujihusisha na mchezo wa soka, wasichana hawa wenye talanta wanajaribu kuubadilisha mtizamo huo kwa kucheza soka kisiwani humo. Tazama vidio.

https://p.dw.com/p/3U5PZ