Warsha ya Elimu juu ya amani iliyofanyika mjini Mombasa,Kenya
16 Septemba 2009
<p>Mkutano wa siku tatu wa mawaziri wa elimu kutoka mataifa yanayokabiliwa au kuwahi kukumbwa na mizozo barani Afrika, umemalizika jana Mjini Mombasa Kenya.
https://p.dw.com/p/JiGn
Matangazo
Mawaziri wakipitisha
azimio la kujumuishwa kwa somo la kudumisha amani kwenye
utaratibu wa masomo katika nchini zao
Mwandishi wetu Eric Ponda amekuwa akifuatilia mkutano huo na
kutuandalia taarifa ifuatayo.