Wanawake katika bunge la Ujerumani | Mada zote | DW | 06.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Wanawake katika bunge la Ujerumani

Mwaka uliopita, jarida mashuhuri la uchumi la Marekani, Forbes, lilichapisha orodha ya wanawake wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani na aliyeshikilia nafasi ya kwanza alikuwa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Merkel ataiongoza tena nchi yake katika muhula wa nne. Nini nafasi ya wanawake katika bunge jipya la Ujerumani lililochaguliwa Septemba mwaka huu?

Sikiliza sauti 09:45
Sasa moja kwa moja
dakika (0)