Wanasheria Tanzania walaani kushambuliwa | Media Center | DW | 29.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Wanasheria Tanzania walaani kushambuliwa

Korea Kaskazini imerusha kombora lingine ambalo limepita anga ya Japan. Viongozi wa Ulaya wamekutana na wenzao wa Afrika mjini Paris kujadili hatua za kukabiliana na wahamiaji wanaokimbilia Ulaya. Wanasheria nchini Tanzania walaani vitendo vya kushambuliwa ofisi za mawakili. Papo kwa Papo 29.08.2017.

Tazama vidio 01:45