Wajue wachezaji waliochaguliwa na Loew | Mada zote | DW | 16.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Michezo

Wajue wachezaji waliochaguliwa na Loew

Licha ya wasiwasi kuhusu kushiriki kwao, Manuel Neuer, Ilkay Guendogan na Mesut Oezil wamechaguliwa, wakati Mario Goetze ni miongoni mwa majina makubwa yaliyoachwa nje.