Waafrika watembelea maonyesho ya viwanda Hannover | Masuala ya Jamii | DW | 27.04.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Waafrika watembelea maonyesho ya viwanda Hannover

Wajumbe takribani 150 kutoka Afrika wamezuru maonyesho ya viwanda mjini Hannover, Ujerumani, wakitazama teknolojia mpya kama maroboti na mawasiliano ya mashine viwandani. Sudi Mnette amehudhuria.

Sikiliza sauti 02:22

Sikiliza ripoti ya Sudi Mnette kutoka Hannover

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com