1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Roboti

Kwa muda mrefu zilikuwa vitu vya filamu za kufikirikika. Lakini kadiri muda unavyokwenda, roboti zinaingia katika maisha yetu ya kila siku. Zinakutikana viwandani, hospitali, katika maghala na hata kwenye kilimo.

Umoja wa Ulaya umefadhili utengenezaji wa roboti kwa kiasi cha hadi mamia ya milioni ya euro. Sekta hiyo inatarajiwa kukua zaidi katika miaka ijayo.

Onesha makala zaidi