Vyombo vya Mawasiliano na Habari –Kipindi 8 –Mapendekezo yasiyo na heshima
11 Novemba 2010
Katika kipindi hiki, Sister P,Young Junior na Charlie wana ahadi na mbunge maarufu na muhimu.Ana shahuku kubwa na fikra yao ya kuanzisha kituo cha radio na kuwaahidi kitu ambacho si rahisi kukikataa.