Vyombo vya Mawasiliano na Habari –Kipindi 4 –Siyo burudani tu
11 Novemba 2010
Klabu ya Dot Com itakitembelea chuo kikuu ambako kaka yake Young Junior, Ezra, anasoma na anafanyakazi katika radio ya chuo hicho.Atazungumzia juu ya kufungua kito cha radio cha jamii.