1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Afrika wanavyojiandaa kupiga kura

Sylvia Mwehozi
5 Machi 2020

Vijana wa Uganda ambao ni wapiga kura wa mara ya kwanza huenda wasishiriki uchaguzi mkuu kwani tume ya uchaguzi inadai haina muda wa kuwaandikisha. Tanzania vijana wanaandikishwa kwa ajili ya uchaguzi 2020.

https://p.dw.com/p/3Yu03
Masanduku ya kupiga kura
Picha: REUTERS

FE: Vijana Mubashara 05/06.03 Youth participation in political process - MP3-Stereo