1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utangulizi wa mlolongo wa maoni ya wafanyakazi wa DW kuhusu miaka 60 ya DW.

Oummilkheir Hamidou23 Aprili 2013

Utangulizi wa mlolongo wa maoni ya wafanyakazi wa DW kuhusu miaka 60 ya DW.

https://p.dw.com/p/18LBr

Tangu May 3 mwaka 1953 Deutsche Welle inatangaza matukio ya Ujerumani na ya Ulimwengu, kuanzia ujenzi wa ukuta wa Berlin kupitia vita katika eneo la Balkan hadi kufikia mizozo ya fedha  Ulimwenguni: Inaarifu, bila ya mapendeleo, ikiwa karibu zaidi na watu, kwa lugha ya kijerumani na nyingi nyengine, kuanzia kiamhara, kireno hadi kufikia kiurdu. Jiungeni nasi katika safari hii ya miongo kadhaa, gunduweni pamoja nasi umuhimu wa uandishi habari pamoja na maelezo ya wafanyakazi wa DW na kujionea yanayotokea nyuma ya pazia!