1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani: hali huenda ikawa shwari uchaguzi wa Tanzania 2020

George Njogopa23 Julai 2020

Vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekaribisha agizo la Rais John Magufuli la kuvitaka vyombo vya ulinzi kutotumia nguvu zaidi wakati wa uchaguzi mkuu. Hata hivyo, vinasema kauli hiyo inapaswa kutekelezwa kwa vitendo na isiishie kuwa maneno matupu.

https://p.dw.com/p/3fo1S