Ukuta wa Njano wa Dortmund na furaha ya soka | Media Center | DW | 05.05.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Ukuta wa Njano wa Dortmund na furaha ya soka

Si umeshausikia ule ukuta wa njano, maarufu Yellow Wall wa ule uwanja wa klabu maarufu hapoa Ujerumani ya Borussia Dortmund? Ungana nami kwenye safari ya ndani ya uwanja huu, kulitambua vizuri eneo hili. #Kurunziujerumani

Tazama vidio 02:47