1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ukeketaji hadi lini?

Lilian Mtono
6 Februari 2020

Wakati viongozi wa dunia wakiahidi kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030 lakini wanaharakati wanasema utamaduni huo hatari na uliopitwa na wakati bado umekita mizizi katika maeneo mengi. Je upo uwezekano wa kukabiliana na utamaduni huu katili? Sikiliza makala haya ya Mbiu ya mnyonge.

https://p.dw.com/p/3XLou