1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uingereza yajitoa rasmi Umoja wa Ulaya, nini itarajiwe?

Josephine Tatu Karema31 Januari 2020

31.01.2020 ni tarehe ambayo Uingereza inajiondoa katika Umoja wa Ulaya wenye mataifa wanachama 28 na kuanza safari ya kivyake tangu mwaka 1973. Kutaka kufahamu kile kinachotarajiwa baada ya hatua ya leo usiku, Tatu Karema amemhoji na mchambuzi wa masuala ya kimataifa anayeishi nchini Ujerumani Abdalla Mzee ambaye ameanza kwa kuelezea iwapo kuna mabadiliko ya hivi sasa yanayotarajiwa.

https://p.dw.com/p/3X6aO