Tundu Lissu ayapinga matokeo | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.10.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Tundu Lissu ayapinga matokeo

Mgombea wa urais wa kwa tiketi ya chama cha upinzani cha CHADEMA nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amekosoa utaratibu wa upigaji kura nchini humo na kudai kuwa uchaguzi huo umekosa. Hata hivyo mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi amekanusha vikali shutuma hizo. Video na Yakub Talib

Tazama vidio 02:36