SiasaTrump kutangaza kama Marekani itaondoka kwenye makubaliano ya nyuklia ya IranTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJohn Juma08.05.20188 Mei 2018Rais wa Marekani Donald Trump ambaye amekuwa mkosoaji mkubwa wa mkataba wa nyuklia unaoyahusisha mataifa makubwa, anatarajiwa kutangaza ikiwa nchi yake itaachana na mkataba huo au la.https://p.dw.com/p/2xNlbMatangazo