Trump atishia kufyetua makombora Syria | Media Center | DW | 12.04.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Trump atishia kufyetua makombora Syria

Mgogoro wa Syria wazidi kuutia khofu Umoja wa Mataifa baada ya rais wa Marekani kutishia kufyetua makonbora Syria huku Urusi ikiapa kudungua kombora lolote la Marekani litakalofyetuliwa pamoja na kushambulia eneo yatakakotokea makombora hayo.

Tazama vidio 00:53
Sasa moja kwa moja
dakika (0)