Trump aitoa Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 09.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Trump aitoa Marekani makubaliano ya nyuklia ya Iran

Rais Donald Trump ametangaza kuitoa Marekani katika mkataba wa kimataifa kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, na kutangaza kurejesha vikwazo vikali vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo. Iran na mataifa washirika wa Marekani wanasemaje?

Tazama vidio 01:29