1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Timu Kubwa" zawashusha mabega mashabiki

18 Juni 2018

Kwenye Kombe la Dunia timu kubwa ambazo wengi walizipigia au wanazipigia upatu zimewaacha midomo wazi. Miongoni mwazo ni mabingwa watetezi Ujerumani na Brazil. Bruce Amani amezungumza kwa njia ya simu na mchambuzi wa kandanda Mtemi Ramadhan aliyeko nchini Urusi kujionea mashindano hayo. Kwanza alianza kumuuliza nini wanachotakiwa kufanya miamba hao wa soka ili wapate matokeo bora.

https://p.dw.com/p/2zlwR