1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 12.09.2021

12 Septemba 2021

Rais wa Marekani Joe Biden aongoza kumbukumbu ya miaka 20 ya mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 nchini Marekani, kundi la Taliban lapandisha bendera yake katika kasri la rais na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aonya kwamba dunia inaelekea katika njia ya hatari na wakati mgumu

https://p.dw.com/p/40DMa