Miongoni mwa taarifa: wananchi wa Uholanzi waelekea katika uchaguzi wa bunge leo hii. Umoja wa Ulaya wazindua mpango wa kuijenga tena Syria baada ya kumalizika vita. Na Moussa Faki Mahamat amechukua rasmi wadhifa wa Rais wa Halmashauri kuu ya Umoja wa Afrika.