1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya asubuhi 14.07.2019

Sylvia Mwehozi
14 Julai 2019

Uingereza yasema itasaidia kuachiwa kwa meli yake ya mafuta inayoshikiliwa Gibraltar. Waandamanaji Sudan wadai haki kwa ajili ya watu waliouwa mwezi Juni. Na rais Macron atangaza kuundwa kwa jeshi jipya la anga za juu.

https://p.dw.com/p/3M37X