Rais Trump atangaza kuwa mkutano wa kilele kati yake na Kim Jong Un utaendelea kama ilivyopangwa.// Waziri Mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy aondolewa madarakani kufuatia kura ya bunge kukosa imani naye.// Marekani imezuia mswada wa Umoja wa Mataifa uliotaka kinga kwa Wapalestina