1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura ya Ujerumani - Mradi wa Afrika Kommt

Harrison Kalunga Mwilima29 Novemba 2019

Makala ya Sura ya Ujerumani leo inatupia jicho mradi unaofahamika kama Afrika Kommt au kwa Kiswahii unaweza kuitwa Afrika inakuja, ambao huwaleta vijana au viongozi wa baadaye wa kiafrika kujifunza na kufanya kazi katika makampuni makubwa ya Ujerumani. Washiriki hao hutumia ujuzi walioupata katika mataifa yao wanaporejea. Harrison Mwilima ndiyo anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/3Tx2F