Simulizi za ubaguzi za Mjerumani mweusi | Media Center | DW | 31.03.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Simulizi za ubaguzi za Mjerumani mweusi

Theodor Michael ni Mjerumani mweusi na wakati wa miaka ya ubaguzi wa rangi nchini Ujerumani, alishirikishwa katika zoo za binaadamu kama kiumbe wa ajabu kutokana tu na rangi yake. Michael: “Watu wakinishika nywele zangu pamoja na ngozi yangu nyeusi.”

Tazama vidio 01:44
Sasa moja kwa moja
dakika (0)