1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Adolf Hitler

Adolf Hitler alikuwa dikteta wa kinazi alieitawala Ujerumani kuanzia 1933 hadi 1945. Alianzisha vita kuu vya pili vya dunia na ndyo alikuwa na dhima kubwa katika maangamizi ya Wayahudi maarufu Holocaust.

Hitler (20 Aprili 1889 – 30 Aprili 1945) alizaliwa Linz, Austria. Alikiongoza chama cha Manazi, NSDAP na aliingia madarakani kama kansela mwaka 1933. Chini ya uongozi wa Hitler, na itikadi yake ya chuki dhidi ya Wayahudi, Ujerumani ya Wanazi iliendesha kampeni ya maauji ya Wayahudi milioni sita na mamilioni ya waathirika wengine. Hapa utapata mkusanyo wa maudhui za DW zinazomhusu Hitler.

Onesha makala zaidi