1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali ya Kongo imetangaza Bajeti yake ya mwaka huu

22 Mei 2007

Ni miezi mitatu sasa tangu serikali ya waziri mkuu Antoine Gizenga kushika wadhifa huo nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Kinshasa.

https://p.dw.com/p/CHDy
Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu serikali ya Kongo Kinshasa imetangaza bajeti yake ya mwaka huu. Hata hivyo bajeti hiyo ya dola bilioni mbili ni nyembamba ikilinganishwa na mahitaji ya wafanyakazi. Wakati huo huo bgenki ya maendeleo ya Afrika ADB, imetoa msaada wa dola milioni 320 kwa kuimarisha sekta ya elimu na umeme nchini humo, kama anavyoripoti mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.