Serikali ya Kenya yakanusha madai ya uvamizi wa kitongoji cha Eastleigh,jijini Nairobi.
18 Januari 2010Matangazo
Serikali ya Kenya kupitia msemaji wake Dakta Alfred Mutua imekanusha madai kwamba kuna njama dhidi ya waislamu katika uvamizi wa usiku wa kuamkia leo uliofanywa na jeshi la polisi katika kitongoji cha Eastleigh mjini Nairobi.
Josephat Charo amezungumza hivi na Dakta Mutua kutaka kujua kinachoendelea huko Eastleigh.
Mtayarishaji: Josephat Charo
Mhariri: Othman Miraji