Serikali mpya ya Ujerumani | Mada zote | DW | 16.12.2013
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Serikali mpya ya Ujerumani

Kufuatia Chama cha Social Democrat (SPD) kuridhia muungano mkuu na wahafidhina wa Christian Democrats (CDU/CSU), pande hizo mbili zimetangaza watu watakaochukuwa nafasi za uwaziri mukiwa na baadhi ya sura za kushangaza.