1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi 29 Ujerumani wa siasa za mrengo wa kulia wasimamishwa kazi

18 Septemba 2020

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jimbo la North-Rhine Westphalia, Hebert Reul, amewataka maafisa wa polisi nchini Ujerumani kuzingatia viapo vyao vya kufuata sheria ya Ujerumani na kuwaripoti wenzao ambao wanaonesha tabia ya siasa kali za mrengo wa kulia.

https://p.dw.com/p/3ig5F