Tarehe mosi ya mwezi Septemba mwaka 1993, majeshi ya mafashisti wa Ujerumani yaliivamia Poland, na Vita Vikuu vya Pili vilianza. Tunauangalia mvutano baina ya Poland na Ujerumani unaotokana na madhara yaliyosababishwa na majeshi ya Ujerumani kuingia Poland. Je, Poland inayo haki ya kudai fidia ya madhara hayo?