Tunatumia 'cookies' ili kuboresha huduma zetu kwako. Maelezo zaidi yanaweza kupatikana katika sera yetu ya faragha.
Chama cha Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa chaibuka na ushindi katika uchaguzi wa bunge. Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kukutana na viongozi wa Afrika Berlin. Na mtoto wa kiume wa Gaddafi kushiriki maridhiano ya Libya. Papo kwa Papo 12.05.2017
Tuma Facebook Twitter google+ Whatsapp Tumblr Digg Newsvine
Kiungo https://p.dw.com/p/2eX8W
Viongozi wa dunia wameahidi kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030, lakini wanaharakati wanasema utamaduni huo hatari na uliopitwa na wakati bado umekita mizizi katika maeneo mengi.
Mkataba mpya wa urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa , hatima ya makubaliano ya Brexit, na kongamano la kimataifa la kiuchumi huko Davos ni miongoni mwa mada zilizomulikwa na wahariri wa magazeti ya Ujerumani.
Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wanatarajiwa kutia saini mkataba mpya wa urafiki baina ya nchi zao, katika mji wa magharibi nchini Ujerumani wa Aachen Jumanne(22.01.2019).
Wabunge wa Uingereza Jumanne waliyakataa pakubwa makubaliano ya Waziri Mkuu Theresa May na Umoja wa Ulaya kuhusu Uingereza kujiondoa kutoka kwenye Umoja huo, jambo lililouvuruga mchakato wa Brexit.