1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshikamano katika kipindi hiki cha corona

9 Aprili 2020

Wakaazi wa Berlin wameanzisha miradi ya kuwasaidia watu walio na uhitaji kama wazee kipindi hiki cha janga la corona. Fuatilia vidio yake Harrison Mwilima kufahamu mengi. #Kurunzi Ujerumani

https://p.dw.com/p/3ahWk