1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miito kwa Ujerumani kuwajibikia uhalifu wa ukoloni Afrika

Harrison Mwilima7 Septemba 2020

Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inaangazia historia ya ukoloni wa Ujerumani na kukujuza kuhusu harakati zinazoendelea sasa katika nchi za Afrika za kuitaka Ujerumani kuwajibika kutokana na uhalifu huo wa kipindi cha ukoloni. Makala hii imeandaliwa na Antonio Cascais na kutafsiriwa na Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/3i6KH