Mara nyingi kumekuwepo na malalamiko na mivutano kati ya waajiri na waajiriwa wa majumbani, hatua inayochangia kutokea kwa visa mara nyingine vya kutisha na kusikitisha kutokana na mivutano hiyo. Wasikilize hawa waliowahi kuajiriwa kazi za ndani kisha nawe tupe maoni yako.