Miaka minne ya chama cha CNDD-FDD madarakani nchini Burundi | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.08.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Miaka minne ya chama cha CNDD-FDD madarakani nchini Burundi

Ni miaka minne leo tangu Chama cha CNDD-FDD kukamata madaraka kikamilifu huko Burundi.

Kuidurusu miaka minne hiyo, Othman Miraji alimpigia simu punde hivi Karenga Ramadhan, mmoja wa waasisi wa chama hicho na aliyewahi kukamata wadhifa wa uwaziri katika serikali ya chama hicho. Alianza kusema mafanikio na kasoro za serikali ya sasa ya huko Bujumbura:

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com