Mazingira ya siasa yabuni nafasi za ajira Tanzania | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 21.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Mazingira ya siasa yabuni nafasi za ajira Tanzania

Wanamitindo, wabunifu na washonaji nguo ni miongoni tu mwa wale wanaonufaika kutokana na mazingira ya siasa nchini Tanzania kwa kushona sare za kisiasa. Kwenye Kurunzi, Ahmad Juma anaangazia juhudi za washonaji nguo na namna ambavyo soko la bidhaa zao limetanuka kutokana na mazingira ya siasa.

Tazama vidio 02:00