1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kufungwa kwa Jamii Forum ni kuwakosesha watumiaji haki

8 Septemba 2025

Baada ya mamlaka ya TCRA kufungia mtandao wa Jamii Forums, kwa tuhuma za kuchapisha kile mamlaka inachokiita "maudhui yanayokwenda kinyume na mila na utamaduni wa Watanzania." Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Afrika, Mexence Mello, anazungumzia hatua hiyo inamaanisha nini kwake na kwa mtandao anaousimamia.

https://p.dw.com/p/509u1