1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 25.12.2020

SK2 / S02S25 Desemba 2020

Wakristo ulimwenguni kote washerehekea Krismasi chini ya kivuli cha janga la COVID-19. Viongozi wa Ulaya wasifia makubaliano ya kibiashara kati ya umoja huo na Uingereza. Waasi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati wasitisha vita kuelekea uchaguzi.

https://p.dw.com/p/3nDGi