1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 13.08.2022

Sylvia Mwehozi
13 Agosti 2022

Tume ya IEBC inaendelea na shughuli ya kujumlisha na kuhakiki matokeo ya uchaguzi kwenye ukumbi wa Bomas. Mwandishi wa vitabu mashuhuri Salman Rushdie anapumulia mashine hospitali baada ya kushambuliwa. Shirika la Upelelezi wa ndani la Marekani, FBI limegundua nyaraka zenye siri nzito za serikali kutoka makazi ya Trump.

https://p.dw.com/p/4FV5T